WAUGUZI IDARA YA CHUMBA CHA UPASUAJI MOI, MNH, AGAKHAN NA TEMEKE WANOLEWA

Dar es Salaam WAUGUZI wa Idara ya chumba cha upasuaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Hospitali ya Taifa...

DK.MPANGO AMEMUAGIZA WAZIRI WA TAMISEMI KUTAMA TIMU WATALAAMU KUCHUNGUZA HOSPITALI

Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...

MAGWIJI WA TIBA RADIOLOJIA DUNIANI WAKUTANA MUHIMBILI KUJADILI MBINU ZA KUONGEZA WIGO WA HUDUMA...

Dar es Salaam MAGWIJI wa tiba radiolojia duniani ambao hutumia vifaa kama vile CT-Scan, MRI, Xray, Angiography system, Utrasound n.k kufanya uchunguzi na kutibu...

MOI YANUFAIKA USHIRIKIANO KIMATAIFA

Dodoma TAASISI ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili yaendelea kuimarisha ushirikiano na Taasisi mbalimbali za kimataifa katika kufanya kambi...

WAZIRI UMMY AFUNGUKA MIAKA MITATU YA RAIS DK.SAMIA

Na  Mwandishi wetu  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan sekta ya afya imeendelea kuwa imara na kusonga mbele...

RAIS DK. MWINYI : SERIKALI IMEDHAMIRIA KUMALIZA MATATIZO YA KIAFYA WANAYOKABILIANA NAYO WANANCHI...

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza Matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi...

WAZIRI MKUU : LISHE BORA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI

Mwanza WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa suala ya lishe ni kipaumbele muhimu kwa Serikali katika kuwezesha utekelezaji wa mipango ya maendeleo na shughuli za...

MATUMIZI YA TUMBAKU HUPOTEZA NGUVU KAZI KATIKA JAMII DK. KILIMA

Dar es Salaam MATUMIZI ya tumbaku katika umri mdogo husababisha athari za mapema za kuzorota kwa afya ya akili, mapafu, ukuaji na mwili mzima...

WIZARA YA AFYA YAWASILISHA VIPAUMBELE 11 VYA BAJETI 2025/26 MBELE YA KAMATI YA BUNGE

Dodoma WIZARA ya Afya imewasilisha vipaumbele 11 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI ambavyo ni pamoja na kuimarisha...

DKT. BITEKO AAGIZA MPANGO MKAKATI KUIMARISHA HUDUMA AFYA YA MSINGI

📌Asisitiza kutoa elimu ya afya kwa jamii 📌Aupongeza Mfumo wa M-mama uliobuniwa na Watanzania 📌Jumla ya vituo 2,799 vimejengwa na vingine kufanyiwa ukarabati kuanzia mwaka 2017...