WATOTO 13 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUNYOOSHA KIBIONGO MOI
Dar es Salaam
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa...
HOSPITALI YA MUHIMBILI YAPOKEA MASHINE MAALUMU KWAAJILI YA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili(MNH) imepokea mashine maalumu Mammography aina ya Senographe Pristina 3D yenye thamani ya milioni 800 kwaajili ya...
WAGONJWA 12 KUFANYIWA UPASUAJI WA MGONGO KWA KUTUMIA MATUNDU MADOGO WAKATI WA KAMBI MAALUM...
Dar es Salaam
WAGONJWA 12 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa mgongo kwa kutumia teknolojia mpya ya upasuaji kwa matundu madogo (Spine Endoscope) katika Taasisi ya...
MOI YAANZA RASMI KUFANYA UPASUAJI WA UTI WA MGONGO KWA NJIA YA MATUNDU
Dar es Salaam
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi kutoa huduma mpya za upasuaji uti wa mgongo kwa kutumia...
KILA MWAKA WATOTO 7500 HUZALIWA NA MATATIZO MBALIMBALI IKIWEMO VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI
Dar es Salaam
TAKWIMU za Wizara ya Afya zinaonyesha kila mwaka watoto 7500 huzaliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo...
MOI YAWAHIMIZA WAGONJWA NA NDUGU WA WAGONJWA KUDAI RISITI BAADA YA KUFANYA MALIPO
Dar es Salaam
WAGONJWA na ndugu wa wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamehimizwa...
KUOZA MENO, MAPENGO NI TATIZO KUBWA LA AFYA YA KINYWA NA MENO MKOANI PWANI...
Na Scolastica Msewa, Kibaha
WANANCHIi zaidi ya 6000 wamejitokeza kupata huduma ya afya ya kinywa na meno mkoani Pwani Katika kipindi cha wiki Moja ikiwa...
RADIAN LIMITED YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA MAHITAJI YA KIJAMII KWA WAGONJWA MOI
Dar es Salaam
SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Radian Limited kupitia kitengo chake cha Radian for Development limetoa msaada wa vifaa tiba, mahitaji ya...
CHUO CHA UFUNDI FURAHIKA KIMEJIPANGA KUWAKATIA BIMA YA AFYA WANAFUNZI
Na Sophia Kingimali @Lajiji Digital
CHUO cha Ufundi cha Furahika kimejipanga kuwakatia Bima ya Afya wanafunzi wake wanaochukua kozi za mwaka mmoja ili kuwapa...
MOI KUANZA KUFANYA UPASUAJI WA UBONGO KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA AKILI UNDE
Na Abdallah Nassoro- Dar es Salaam
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), mapema wiki hii inatarajia kuanza kutoa huduma za upasuaji wa...