MOI KUANZA KUFANYA UPASUAJI WA UBONGO KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA AKILI UNDE

Na Abdallah Nassoro- Dar es Salaam TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), mapema wiki hii inatarajia kuanza kutoa huduma za upasuaji wa...

WIZARA YA AFYA YAWASILISHA VIPAUMBELE 11 VYA BAJETI 2025/26 MBELE YA KAMATI YA BUNGE

Dodoma WIZARA ya Afya imewasilisha vipaumbele 11 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI ambavyo ni pamoja na kuimarisha...

MAJALIWA: HAKIKISHENI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NCHINI ZINAKIDHI VIWANGO

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za kudhibiti viwango nchini zihakikishe uzalishaji wa bidhaa zote zinazozalishwa zikiwemo za afya zinakidhi ubora...

MUHIMBILI YATOA ELIMU YA UGONJWA WA FIGO KWA WAKUU WA SHULE DAR ES SALAAM...

Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imetoa elimu kuhusu ugonjwa ya figo na magonjwa yasiyoambukiza kwa walimu wakuu wa shule za...

MOI KUBORESHA MFUMO WA UTOAJI WA TAARIFA KWA NDUGU WA WAGONJWA WANAOFANYIWA UPASUAJI

Morogoro TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imejipanga kuboresha utoaji wa taarifa za mwenendo wa upasuaji wa wagonjwa kwa ndugu wa...

MOI YANUFAIKA USHIRIKIANO KIMATAIFA

Dodoma TAASISI ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili yaendelea kuimarisha ushirikiano na Taasisi mbalimbali za kimataifa katika kufanya kambi...

WATOTO 13 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUNYOOSHA KIBIONGO MOI

Dar es Salaam TAASISI ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa...

DK. KISENGE:WATU ZAIDI YA MIL 17 HUPOTEZA MAISHA KWA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA IKIWEMO UGONJWA WA...

Na Deborah Lemmubi, Dodoma. MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Peter Kisenge amesema zaidi ya watu miilioni 17 hupoteza maisha...

RAIS DK. MWINYI : SERIKALI IMEDHAMIRIA KUMALIZA MATATIZO YA KIAFYA WANAYOKABILIANA NAYO WANANCHI...

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza Matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi...

WAZAZI WALETENI WATOTO WENYE KIBIONGO WAFANYIWE UCHUNGUZI MOI

Dar es Salaam TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetoa wito kwa wazazi au walezi wa watoto wenye tatizo la kibiongo...