TIRA YACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 20 KUBORESHA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA
Dar es Salaam
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima (TIRA) imeshiriki kwenye halfa ya Harambee iliyopewa jina la 'Rafiki wa Amana Dinner Gala 2024' iliyofanyika...
MUHIMBILI NA RAFIKI SURGICAL MISSION WAANZA KAMBI YA UPASUAJI REKEBISHI
Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) leo Oktoba,21 2024 imeanza rasmi kambi maalum ya upasuaji rekebishi ambayo itahitimishwa Novemba, 1 mwaka huu...
RAIS SAMIA APONGEZWA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA AFYA
π Serikali Yawapongeza Wanaradiografia kwa Mchango wao kwa Jamii
π Uwekezaji katika Sekta ya Afya Waokoa Fedha
π Tanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET...
WAZIRI MKUU : LISHE BORA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI
Mwanza
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa suala ya lishe ni kipaumbele muhimu kwa Serikali katika kuwezesha utekelezaji wa mipango ya maendeleo na shughuli za...
MOI YAJIPANGA KUTOA HUDUMA KWA WAGONJWA 1,500 KWA SIKU
Dar es Salaam
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema kukamilika kwa miradi mikubwa mitatu ya Ujenzi wa jengo jipya ya...
WATAALAMU WA MAABARA TOENI MAJIBU SAHIHI KUWASAIDIA WATANZANIA – DK. BITEKO
π Serikali Yafanya Mageuzi Makubwa Sekta ya Afya Nchini
π Wataalam wa Maabara za Binadamu Wasisitizwa Kulinda Taaluma Yao
πTanzania ya Tatu Barani Afrika kwa Huduma...
HAKUNA MGONJWA ANAYEBEBWA KWENYE TENGA TUNDURU β MCHENGERWA
Ruvuma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema hakuna mgonjwa anayesafirishwa kwa njia ya...
ZAHANATI MPYA 17 ZAENDELEA KUJENGWA KWA KASI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
JUMLA ya zahanati 17 zinaendelea kujengwa kwa kasi ndani ya jimbo la Musoma vijijini ili kutoa huduma za afya
Taarifa iliyotolewa leo septemba...
MARATHON NI MPANGO MKAKATI WA KUJENGA AFYA ZA WATANZANIA – MAJALIWA
Lindi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema marathon zinazofanyika kila kona nchini ni mpango mkakati wa kuwafanya Watanzania wawe na afya njema na wakae pamoja ili...
WAZIRI MHAGAMA AIPONGEZA MOI KWA KUPUNGUZA IDADI YA WAGONJWA KUTIBIWA NJE YA NCHI.
Dar es Salaam
WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo muhimbili (MOI) kwa kupunguza idadi ya wagonjwa wa...