Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AWASILI MKOANI RUVUMA KWAAJILI YA ZIARA YA KIKAZI

RAIS DK.SAMIA AWASILI MKOANI RUVUMA KWAAJILI YA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Songea kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma leo Septemba, 23 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili za Mkoa wa Ruvuma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songea kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo leo Septemba, 23 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa alipokuwa akitoa maelezo kuhusu mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea Mkoani Ruvuma Septemba,23 2024. Rais Dk. Samia ameanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma ambapo pamoja na mambo mengine atakagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here