Home KITAIFA MKURUGENZI MKUU TCAA, MSANGI ALIVYOSHIRIKI MAPOKEZI YA RAIS SAMIA, UWANJA WA NDEGE...

MKURUGENZI MKUU TCAA, MSANGI ALIVYOSHIRIKI MAPOKEZI YA RAIS SAMIA, UWANJA WA NDEGE WA SONGEA, MKOANI RUVUMA LEO

Rais Dk.Samia Suluhu Hassan (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi (kushoto), pamoja na viongozi wengine, wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati alipokuwa akizungumzia mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea, Mkoani Ruvuma, leo Septemba 23, 2024. Rais Samia ameanza ziara ya siku saba Mkoani humo ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa Godius Kahyarara (kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi wakati walipokuwa wakimsubiri kumpokea Rais Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Songea, Mkoani Ruvuma, leo Septemba 23, 2024.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here