Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 6O YA JESHI LA...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 6O YA JESHI LA POLISI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Moshi Mkoani Kilimanjaro, leo Septemba,17 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) kwa ajili ya kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo Moshi Mkoani Kilimanjaro leo Septemba, 17 2024.

Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Tanzania likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tar Septemba, 17 2024.

Matukio mbalimbali kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro Septemba, 17 2024.

Gwaride la Watoto likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro Septemba,17 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here