Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AKIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE HAFLA YA KUTUNUKU NISHANI YA...

RAIS DK.SAMIA AKIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE HAFLA YA KUTUNUKU NISHANI YA MIAKA 60 YA JWTZ.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi mbalimbali kwenye hafla ya kutunuku Nishani ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti,29 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Nishani ya miaka 60, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda, Majenerali, Maafisa pamoja na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti, 29 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here