Home KITAIFA WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DK. SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA...

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DK. SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KIST

Arusha

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Agosti 27, 2024 anamuwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika  Maadhimisho ya  miaka 50 ya  Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST).

Hafla hiyo unafanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.

Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni “Uimarishaji wa Taaluma ya Uhandisi Ujenzi kwa Maendeleo Endelevu ya Nchi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here