Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AZINDUA UTALII WA KASA ZANZIBAR.

RAIS DK.SAMIA AZINDUA UTALII WA KASA ZANZIBAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar agosti, 24 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan leo ametembelea mabanda mbalimbali ya maonesho yaliyopo Kizimkazi Dimbani kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar Agosti, 24 2024.

Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam (Salaam-Cave)Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar Agosti,24 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here