Home KITAIFA RAIS DK. SAMIA AKIPOKEA RIPOT YA CAG NA TAKUKURU

RAIS DK. SAMIA AKIPOKEA RIPOT YA CAG NA TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 kutoka kwa Bw. Charles Kichere Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Machi, 28 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa mwaka 2022/2023 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo CP. Salum Hamduni Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Machi, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here