Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI DK.SAMIA SULUHU HASSAN.

RAIS DK.SAMIA AFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI DK.SAMIA SULUHU HASSAN.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akifungua Skuli ya Maandalizi Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar Agosti, 20 2024.

Matukio Mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akifungua Skuli ya Maandalizi Dk. Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar Agosti, 20 2024.

Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Shehia ya Tasani Zanzibar Agosti, 20 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa maeneo ya jirani na Tasani mara baada ya hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi ya Dk. Samia Suluhu Hassan, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja, Agosti, 20 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here