Home KITAIFA RAIS MWINYI ASHIRIKI HITMA YA FIKIRINI

RAIS MWINYI ASHIRIKI HITMA YA FIKIRINI

Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Alhaji Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini Kiislamu katika Hitma ya kumuombea Marehemu Walid Fikirini aliyefariki siku chache zilizopita.

Hitma hiyo imefanyika leo Agosti, 17 2024 katika Msikiti wa Muzdalifa uliopo Bububu Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Marehemu Walid Fikirini wakati wa uhai wake aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali Serikalini ikiwemo Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here