Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AKUTANA MAAFISA UGANI

RAIS DK.SAMIA AKUTANA MAAFISA UGANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na maafisa ugani pamoja na wanaushirika kabla ya kuanza kwa kikao na maafisa hao Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma, Agosti,10 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waandishi wa Habari kutoka mkoa wa Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao na maafisa ugani pamoja na wanaushirika Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma, Agosti, 10 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here