Home KITAIFA MWABUKUSI ASHINDA URAIS TLS

MWABUKUSI ASHINDA URAIS TLS

Dodoma

Bonifance Kajunjumele Mwabukusi amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha wanasheria cha Tanganyika (TLS) .

Chini ya sheria mpya, Mwabukusi atadumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu badala ya mwaka mmoja wa awali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here