Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA K-FINCO

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA K-FINCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-Finco) , Eun Jae Lee Ikulu Jijini Dar es Salaam Julai, 26 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here