Home KITAIFA WAZIRI MKUU MGENI RASMI WIKI YA SEKTA BINAFSI

WAZIRI MKUU MGENI RASMI WIKI YA SEKTA BINAFSI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 23, 2024 ni mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Wiki Maadhimisho ya Wiki ya Sekta Binafsi inayofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here