Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS NYUSI

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS NYUSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MhSamia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar Julai, 4 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar Julai, 4 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi wakati akimsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar Julai,4 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar Julai, 4 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi wakiwapungia mkono wananchi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar Julai, 42024.

Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi akipunga mkono wakati akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar mara baada ya kuhitimisha ziara yake Julai,4 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here