Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA Na RAIS NYUSI WATEMBEELEA BANDA LA WAZIRI MKUU

RAIS DK.SAMIA Na RAIS NYUSI WATEMBEELEA BANDA LA WAZIRI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji , Filipe Jacinto Nyusi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Jenista Mhagama wakati akitoa maelezo kuhusu Mfumo wa Ufuatiliaji wa mwenendo wa majanga na tahadhari ya mapema (MYDEWETRA) wakati
walipotembelea katika Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizochini yake katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai, 3 2024 Jijini Dar es Salaam.

Maonesho hayo ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam (Sabasaba) yamefunguliwa rasmi leo (Julai 3, 2024) na Rais wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi pamoja na Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here