Home KITAIFA DKT. NCHEMBA ATETA NA WAZIRI WA VIWANDA

DKT. NCHEMBA ATETA NA WAZIRI WA VIWANDA

WAZIRI Fedha, Dk. Mwigulu  Nchemba akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk.Ashatu Kijaji ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara ili sekta hiyo iweze kuongeza mchango wake katika Uchumi na maendeleo ya watu. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here