Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AWASILI KOREA KUSINI KWA ZIARA YA KIKAZI

RAIS DK.SAMIA AWASILI KOREA KUSINI KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi Mei,31 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MSamia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea Mei, 31 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi Mei, 31 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea mara baada ya kuwasili Jijini Seoul nchini humo Mei, 31 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimtazama mtoto mara baada ya kuwasili Jijini Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea Mei, 31 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Wanadispora mara baada ya kuwasili Jijini Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea Mei, 31 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here