Home KITAIFA BASI LA SHABIBY LAPATA AJILI

BASI LA SHABIBY LAPATA AJILI

Basi la Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma, likiwa na zaidi ya abiria 25, limepata ajali katika eneo la Kihonda kwa Chambo, Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12:30 asubuhi, leo Mei 25, 2024 hakuna kifo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here