Home KITAIFA WAZIRI MKUU AKAGUA BASI AINA YA KAYOOLA EVS

WAZIRI MKUU AKAGUA BASI AINA YA KAYOOLA EVS

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua basi aina ya KAYOOLA EVS lililotengenezwa nchini Uganda na kampuni ya Kiira Motors Corporation baada ya kufungua Kongamano la Pili la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Uganda kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam, Mei 23, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here