Home KITAIFA WAZIRI MKUU AKIJIBU MASWALI YA PAPO KWA PAPO BUNGENI

WAZIRI MKUU AKIJIBU MASWALI YA PAPO KWA PAPO BUNGENI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2024.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko (Kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Deogratius Ndejembi (Katikati) Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2024.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here