Home KITAIFA DK.SAMIA AKUTANA WAZIRI ANAESHUGHULIKIA MASUALA YA KIMAENDELEO YA KIMATAIFA UFARANSA

DK.SAMIA AKUTANA WAZIRI ANAESHUGHULIKIA MASUALA YA KIMAENDELEO YA KIMATAIFA UFARANSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri anaeshughulikia Masuala ya Maendeleo ya Kimataifa wa Ufaransa. Chrysoula Zacharopoulou walipokutana Jijini Paris Ufaransa Mei,13 2024. Rais Samia yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika unaotarajiwa kufanyika Mei 14 2024 ambapo pia atakuwa Mwenyetiki Mwenza katika Mkutano huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia S Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri anaeshughulikia Masuala ya Maendeleo ya Kimataifa wa Ufaransa Chrysoula Zacharopoulou walipokutana Jijini Paris Ufaransa Mei,13 2024. Rais Samia yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika unaotarajiwa kufanyika Mei, 14 2024 ambapo pia atakuwa Mwenyetiki Mwenza katika Mkutano huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here