Home KITAIFA DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU CLEAN COOKING ALLIANCE,DYMPHNA

DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU CLEAN COOKING ALLIANCE,DYMPHNA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Clean Cooking Alliance Dymphna Van der Lans Jijini Paris Ufaransa Mei, 13 2024. Rais Samia yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika unaotarajiwa kufanyika Mei 14 2024 ambapo pia atakuwa Mwenyetiki Mwenza katika Mkutano huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Clean Cooking Alliance BDymphna Van der Lans mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Jijini Paris Ufaransa Mei, 13 2024. Rais Samia yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika unaotarajiwa kufanyika Mei 14 2024 ambapo pia atakuwa Mwenyetiki Mwenza katika Mkutano huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here