Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA KUZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA...

RAIS DK.SAMIA KUZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk.Doto Mashaka Biteko mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Mei,8 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Mashaka Biteko mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam Mei, 8, 2024.

Wageni pamoja na Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam Mei, 8, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here