Home KITAIFA BALOZI DK. EMMANUEL NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

BALOZI DK. EMMANUEL NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

Na Mwandishi wetu,

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, leo Ijumaa, Machi 14, 2024, Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam na kufanya mazungumzo juu ya masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano na urafiki wa kidugu kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Tanzania na China.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here