Home KITAIFA DK. MPANGO AKABIDHIWA KITABU CHA SAFARI YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

DK. MPANGO AKABIDHIWA KITABU CHA SAFARI YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Mahmoud Thabit Kombo ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho. Tukio hilo limefanyika Mei 03, 2024 Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here