Home KITAIFA NAIBU WAZIRI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

NAIBU WAZIRI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiagana na viongozi mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Aprili, 26 2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here