Home KITAIFA Rais Dk.Samia aandaa futari kwa viongozi mbalimbali

Rais Dk.Samia aandaa futari kwa viongozi mbalimbali

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Komredi Abdulrahman Kinana, akisalimiana na kuzungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, walipokutana kwenye futari iliyoandaliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, jioni ya leo Jumanne Machi 12, 2024, Ikulu, jijini Dar Es Salaam. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam, Abbas Mtemvu (katikati), Katibu wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam, Ndugu Adam Ngalawa (kulia), Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Juma Simba ‘Gadafi’ (mwenye kanzu ya kijani) na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Toba Nguvila, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar Es Salaam (kushoto).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here