Home KITAIFA Dk. Biteko kikao kazi ngazi ya mawaziri

Dk. Biteko kikao kazi ngazi ya mawaziri

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini.

Kikao kazi hicho kimefanyika Machi, 7 2024 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Kisekta, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakurugenzi wa Taasisi kutoka Sekta husika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here