Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA KILELE CHA MIAKA 61 YA MAPINDUZI

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA KILELE CHA MIAKA 61 YA MAPINDUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Gombani, wilaya ya Chakechake, mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo Januari,12 2025.
Mgeni Rasmi wa maadhimisho hayo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here