Home KITAIFA DK. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA JAPAN NCHINI

DK. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA JAPAN NCHINI

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba (kulia), akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Yasushi Misawa, baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ofisi za Hazina (Treasury Square), jijini Dodoma, ambapo Dk. Nchemba alimhakikishia Balozi huyo kuwa Tanzania na Japan zitaendelea kuimarisha uhusiano wake wa kiuchumi na kijamii kwa faida ya nchi hizo mbili huku Balozi Misawa kwa upande wake, akisema Tanzazania na Japani zina uhusiano wa kihistoria ambao nchi yake itauendeleza kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayofadhiliwa na nchi yake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here