





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith. Msikiti huo unajengwa na Taasisi ya Kiislamu ya Islamic Foundation uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro leo Novemba, 25 2024.