Home BIASHARA BoT YAZIFUNGIA APPLICATION “69 ZA MIKOPO MITANDAONI

BoT YAZIFUNGIA APPLICATION “69 ZA MIKOPO MITANDAONI

Dar es Salaam

BENKI Kuu ya Tanzania(BoT), imetoa orodha ya ‘Applications’ 69 zinazotoa mikopo ya fedha mtandaoni zilizofungiwa kujihusisha na huduma hiyo.

Taarifa iliyotolewa na BoT leo Novemba 21,2024 imesema inashirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA), kuzifungia programu hizo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here