Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFUNGUA KIKAO MAALUM CHA UWT RUVUMA

RAIS DK.SAMIA AFUNGUA KIKAO MAALUM CHA UWT RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea Mkoani Ruvuma, leo Septemba, 28 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here