Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA WAKUU WA NCHI EAC NA...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA WAKUU WA NCHI EAC NA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari, 8 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here