Home KITAIFA MAPOKEZI YA RAIS DK.SAMIA DODOMA NA TUZO YA GATES

MAPOKEZI YA RAIS DK.SAMIA DODOMA NA TUZO YA GATES

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewasili na kupokelewa na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akiwa na Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award. Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu. Rais Dk. Samia amepewa Tuzo hiyo katika kipengele cha mapambano dhidi ya vifo vya wamama wajawazito na watoto wachanga chini ya umri wa miaka mitano.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here