Home KIMATAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC ZIMBABWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ), Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika ukumbi wa New Parliament Building, Harare nchini Zimbabwe leo Januari, 31 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here