Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mahmoud Ali Youssouf mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Januari,23 2025.