Home KITAIFA WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA TUME YA RAIS YA MAREKEBISHO YA...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA TUME YA RAIS YA MAREKEBISHO YA KODI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 20, 2025 amekutana na wajumbe wa Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Wajumbe hao waliongozwa na mwenyekiti wa tume hiyo Balozi Ombeni Sefue.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here