Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM

RAIS DK.SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Dodoma leo Januari, 17 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here