Home KITAIFA RAIS DK.MWINYI AWASILI DODOMA

RAIS DK.MWINYI AWASILI DODOMA

Dodoma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi wameondoka Zanzibar na kuwasili leo Januari, 16 2025 jijini Dodoma kwaajili ya shughuli za kikazi.

Rais Dk.Mwinyi amepokelewa uwanja wa ndege Dodoma na Mkuu wa mkoa huo, Rosemary Senyamule na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama cha Mapinduzi (CCM) na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Rais Dk. Mwinyi akiwa Dodoma atashiriki vikao vya kikatiba ya CCM ngazi ya Taifa vikiwemo Halmashauri Kuu ya CCM Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mkutano Maalum wa Chama hicho utakaofanyika Januari 18 hadi 19 2025 jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here