Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AKARIBISHA MWAKA MPYA PAMOJA NA MABALOZI

RAIS DK.SAMIA AKARIBISHA MWAKA MPYA PAMOJA NA MABALOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam Januari, 14 2025.

Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam Januari, 14 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam Januari, 14 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here