Home KIMATAIFA WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DK. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKUTANO WA WAKUU...

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DK. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA AFRIKA KUHUSU KILIMO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2025 ameshiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika ambapo alimwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Speke Resort, Munyonyo, Kampala Uganda.

Awali Majaliwa alishuhudia Tamasha la Kahawa Afrika (Africa Coffee Festival) lililolenga kuhamasisha uongezaji thamani katika mazao yanayolimwa Afrika likiwemo zao la kahawa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here