Home KITAIFA WAZIRI MKUU AWASILI UGANDA KUMWAKILISHA RAIS DK. SAMIA MKUTANO WA KILIMO

WAZIRI MKUU AWASILI UGANDA KUMWAKILISHA RAIS DK. SAMIA MKUTANO WA KILIMO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 10, 2025 amewasili Kampala nchini Uganda ambapo kesho Januari 11, 2025 atamwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano  kuhusu Mpango wa Kilimo Afrika utakaofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Speke Resort and Conference Centre Munyonyo. Waziri Mkuu alipokelewa na Waziri wa Nchi anayeshugulikia Kilimo, Mifugo na Uvuvi  wa Uganda, Fredrick Bwino, Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Meja Jenerali Paul Kisesa, Balozi wa Uganda nchini, Kanali Mstaafu, Fredy Mwesigye.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here