Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar leo Januari,8 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar leo Januari, 8 2025.