Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, Mwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection Andrea Azzola wakati wa ufunguzi wa Hoteli Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar leo Januari, 07 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ufunguzi wa Hoteli hiyo iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar leo Januari, 7 2025.
Muonekano wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar leo Januari, 07 2025