Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC-ORGAN KWA NJIA YA MTANDAO

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC-ORGAN KWA NJIA YA MTANDAO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ), Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar leo Januari, 05 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here